# Sentensi unganishi Yesu anaelezea ufalme wa mbinguni kwa kutumia mfano wa chahu na jinsi inavyoweza kuufanya udongo # Ufalme wa mbinguni ni kama chachu Ufalme si kama chachu, lakini kusambaa kwa ufalme ni kama kusambaa kwa chachu # ufalme wa mbinguni ni kama ufalme wa mbinguni una, maanisha utawala wa Mungu kama mfalme..Kirai "ufalme wa mbinguni" kimetumika katika Mthayo tu. Mungu wetuwa mbinguni atakapojidhihirisha kama mfalme itakuwa kama" # vipimo vitatu kwa unga "kipimo kikubwa cha unga" au tumia kipimo kinachotumika katika utamaduni wako cha kuonesha kipimo kikubwa cha unga. # mpaka viumuke Maana kusudiwa hpa ni kwamba, chachu na vile vipimo vitatu vya unga vilitengenezwa kwa ajiliya kuumulia.