# Sentensi unganishi Hapa Yesu anaelezea juu ya uafalme wa mbinguni kwa kutumia mfanao wa shamba lilikuwa na ngano na magugu vikikuwa pamoja # Ufalme wa mbinguni umefananishwa tafasiri islinganishe ufame wa mbinguni na mtu, bali ufalme wa mbinguni kama ulivyoelezwa kwenye mfano. # ufalme wa mbinguni umefananishwana mtu "Wakti Mungu wa mbinguni atakapojionesha kama mfalme" # ufalme wa mbinguni umefananishwa n wakati Mungu wetu wa mbinguni atakapojidhirisha kama mfalme, itkuwa kama # mbegu nzuri "mbegu nzuru ya chakula" au "nafaka nzuri" # adaui ake akaja "adaui wake akaja shambani" # magugu magugu huonekena kama mimea ya chakula yanapokuwa hayajakomaa. laini mbegu zake huwa nasumu" au "mbegu mbaya" au mbegu za magugu" # baadaye ngano ilipoota "badaye mbegu za ngano zilipoota" au "wakati mimea ilipochipua" # ilipotoa mazao "ilipotoa nafaka" au "ilipotoa mbegu za ngano" # ndipo magugu yalitokea pia "watu waliweza kuyaona magugu shambani pia"