# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwawleza wanafunziwake kuhusu mfano wa mpanzi # aliyepandwa hii ni mbegu iliyopandwa au iliyoanguka # iliyopandwa kati ya miiba ardhi ilyo na miiba amabapo mbegu ilipandwa # huyu ni yule inamaanisha mtu # neno inaanisha ujumbe wa Mungu # masumbuko ya ulimwengu na udanganyifu wa utajiri hulisonga lile nenoi Yesu anaongelea masumbufu ya ulimwengu na udanganyifu wa utajiri hugeuza nia ya mtu na kushindwa kutii neno la Mungu kama vile magugu yanavyoweza kuuelemea mmea na kushindwa kukua. # masumbko ya ulimwengu "mamabo ya dunia ambayo huwafanyawatu wawe na mashaka # udanganyifu wa utajiri Yesu anautumia utajiri kama mtu adanganyaye watu. Hii inamaanisha kuwa watu hudhani kuwa na pesa nyingi huwafanya kuwa na furaha, lakini si kweli. # lisije likazaa matunda kutokuzaa matunda # aliyepandwa kwenye udongo mzuri kwenye udongo mzuri ambapo mbegu zilipandwa # azaaye matunda na kuendela kuzaa Hapa mtu amefananishwa na mti uzaao. "Kama mti wenye afya uzaoa matunda, ambaye ni mzalishaji. # kuzaa moja zaidi ya mara mia, nyingine sitini, nyingine thelatiini watu wengine huzalisha 100 mara, wengine 60 na wengine 30.