# Kama Edom akisema 'Kama watu wa Edomu wakisema." # lakini nitawaangusha chini "Nitaiangamiza" # na wanaume watawaita "na wanaume wa taifa lingine watawaita" # nchi ya uovu "nchi ya watu waovu # Macho yako yataona hiki "Utaona hiki kikitokea'; hii ni kuwa, hawatahitaji mtu yeyote kuwaambia kilichotokea.