# Alaaniwe machoni pa Yahweh mtu yule anayeujenga mji huu kulaaniwa mbele la Yahweh ina maana ya kulaaaniwa na Yahweh. Yaani "Yahweh na amlaani mtu yule atakayejenga.." # Ataujenga msingi kwa gharama ya mzaliwa wake wa kwanza Matokeo ya mtu kuweka malango mapya kwa mji wa Yeriko ilikuwa ni kwamba mwana wake wa kwanza wa kiume angekufa. Hii inaongelewa kana kwamba ilikuwa ni gharama ambayo mtu alitakiwa kuilipa. "Kama utauweka msingi, atampoteza mwana wake wa kwanza. # kwa gharama ya mzaliwa wake wa pili atapachika milango yake Matokeo ya mtu kuweka malango mapya kwa mji wa Yeriko ilikuwa ni kwamba mtoto wake mdogo wa kiume angekufa. Hii inaongelewa kana kwamba ilikuwa ni gharama ambayo mtu alitakiwa kuilipa. "Kama utauweka msingi, atampoteza mwana wwake mdogo." # umaarufu wake ulienea "Umaarufu wa Yoshua ulienea" Kujulikana miongoni wa watu katika nchi yote, kunasemwa kama kuenea kwa umaarufu wake. "Yoshua alijulikana na kuwa maarufu katika nchi yote.