# Sentensi kiunganishi Mungu aendelea kuongea na Yoshua juu ya kile watu walichopaswa kufanya # watapuliza pembe za kondoo waume kwa nguvu kuu, Kiwakilishi 'wa' kinarejelea makuhani saba. "Pembe za kondoo" na "tarumbeta" ni tarumbeta za pembe za kondoo dume ambazo makuhani walikuwa wakizipuliza katika 6:3 # ukuta wa mji "Huu ulikuwa ni ukuta wa nje wa mji" au "ukuta uliouzingira mji."