# hutafuta mawindo Kiambishi 'hu' kinarejelea tai # macho yake huyaona huwaona wao # pale walipo wafu "sehemu palipo na watu wafu'' Kirai hichi kinarejelea maiti zilizolala katika sehemu wazi, si miili iliyozikwa ardhini. # ndipo na yeye alipo. "yuko pale kuwala wao"