# huimeza Kiambishi 'hu' kinarejelea farasi # huimeza nchi Farasi hukimbia kwa kasi juu ya ardhi na ya kwamba nchi hupita kama mtu anakunywa maji. # hasira na ghadhabu "kwa miondoko mikubwa na ya haraka" Farasi anaposisimuka huondoka kwa haraka na kwa nguvu. Na kwasababu hii, farasi hukimbia kwa haraka. # katika sauti ya tarumbeta, "wakati mtu fulani anapopuliza tarumbeta ili kutangaza kwamba vita imeanza." # hawezi kusimama sehemu moja "mara kwa mara huwahi kwenye vita" # husema Ooo! Watu hutoa Sauti Ooo! wakati wanapokuwa wamefurahia kitu fulani. Farasi huwa na furaha kwasababu huifurahia vita. # vishindo vya radi Hii ina maana kwamba farasi huvisikia vitu hivi. "husikia sauti ya radi" # kelele "Vita hupiga kelele" Watu huwa na kilio maalumu ambacho hukitumia kuonesha kuwa wao ni watu gani na nguvu zao kuu na ujasiri na kuwaogopesha maadui.