# katika macho yake mwenyewe ''katka ufahamu wake mwenyewe" au "katika mawazo yake" # Ndipo iliwaka hasira ya Elihu mwana wa Barakeli Mbuzi, wa familia ya Ramu, iliwaka dhidi ya Ayubu Hii inalinganisha hasira ya Elihu na mtu anayewasha moto. # Elihu.....Barakeli.....Ramu Haya ni majina ya wanaume # mbuzi Hili ni jina la kikundi cha watu.