# Melezo ya jumla: Yeremia anazungumza na Waisraeli mateka. # Aliyeketi katika kiti cha enzi cha Daudi. Hapa anatajwa mfalme wa Yuda, ambaye pia ni mmoja wa wazawa wa Daudi. # Ona. "Angalia" auaa sikiliza" au zingatia." # Niko karibu kutuma upanga, njaa, na ugonjwa juu yao. "Upanga" unawakilisha vita. "Ninakwenda kuwaadhibu." # Kwa maana nitawafanya kuwa kama tini mbovu ambazo ni mbaya sana hazifai kuliwa. "Nitawaadhibu kwa ukatili" au nitayaharibu maisha yao."