# Umeongeza taifa, Yahwe, umeongeza taifa Kishazi hiki kinarudiwa kwa ajili ya msisitizo. Hapa "taifa" inawakilisha watu. "Umeongeza sana idadi ya watu katika taifa letu"