# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Nitawaponya kugeuka kwao Kuwafanya watu wasigeuke toka kwa Mungu kunazungumwa kama kitendo cha kuponya. # kugeuka kwao Watu kushindwa kumtii Mungu kunazungumzwa kama kitendo cha kugeuka toka kwake. # Nitakuwa kama umande kwa Israeli; atachanua kama maua Bwana anazungumza akijifananisha na umande unaohitajika ili kuupa rutuba mmea na Israeli inafananishwa na ua litakalochanua. # kuchukua mizizi kama mwerezi nchini Lebanoni Taswira ya Israeli kama mmea inaendelea lakini hapa inafananishwa na mierezi wa Lebanoni. # Matawi yake yataenea ... kama mierezi ya Lebanoni Sehwmu hii inaendelea kuzungumzia kitu hicho hicho.