# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli. # nimeinua mkono wangu kuapa kiapo Tazama tafsiri yake katika 20:4. # kwao "kwa nyumba ya Israeli" # Lakini jicho langu lilikuwa na huruma kwao "Lakini bado nawahurumia." # kwa sababu ya uharibifu wao "lakini sikuwaharibu"