# muda na bahati huwaathiri wao wote "kinachotokea na kitakapotokea huwaathiri wote" # huwaathiri wao wote Hapa maneno "wao wote" inamaanisha mbio, vita, mkate, utajiri, na upendeleo. # kama vile samaki ... kama ndege ... Kama wanyama, wanadamu Kifo huwashika wanadamu wakati wasiotarajia, kama vile watu wanavyokamata wanyama wakati wasipotarajia. # katika nyakati mbaya ambazo ghafla huwaangukia Maana zinazowezekana ni 1) "katika hali mbaya ambayo inawatokea ghafla" au 2) "kwa kifo kinachowapata ghafla."