# Kumi na sita...hamsini na mbili. "16...52." # Elathi. Huu ulikuwa mji mmoja ulikuwa akatika Ghuba ya Akaba. # Mfalme akalala pamoja na babu zake. "Maana yake ni kwamba mfalme akafa."