# usipokee mashitaka Paulo anaongea juu ya mashitaka kama vitu ambavyo vinaweza kushikika au kupokelewa na watu # mbili au tatu "angalau mbili" au "mbili au zaidi" # wenye dhambi hii inahusu mtu yeyote kufanya jambo lolote ambalo halimtii au yasiyompendeza Mungu, hata mambo ambayo watu wengine hawayajui. # mbele ya watu wote "ambapo kila mtu anaweza kuona" # ili wengine wawe na hofu "ili wengine waweze kuogopa kufanya dhambi"