# akatawala kwa miaka miwili "akatawala kwa miaka 2" # akafanya yaliyo maovu mbele za BWANA "yale ambayo BWANA aliyaona kuwa ni maovu" # akatembea katika njia za baba yake, katikanjia za mama yake, na katika njia za Yeroboamu mwana wa Nebati "Alifanya sawa na baba yake alivyofanya, mama naYeroboamu mwana wa Nebati alivyofanya" # aliifanya Israeli kufanya dhambi Neno "Israeli" linmaanisha makabila kumi ya dola ya Israeli iliyokuwa kaskazini # Alimtumika Baali na kumwabudu "Alimtumikia" na "kumwabudu" maneno hayo yanamaanishakitu kimoja. # Mungu wa Israeli "Israeli" linamaanishaWaisraeli wote waliotokana na Yakobo.