# yaliyo mabaya katika macho ya BWANA "yale ambayo BWANA aliyaona kuwa maovu" # akatembea katika njia ya Yeroboamu "aliishi katika njia za Yeroboamu" au "alifanya mabo yaleyale ambayo Yeroboamu alifanya" # katika dhambi yake Neno "yake" linamwakilisha Baasha