# Je wote mnakarama ya uponyaji? Kwa maneno mengine " si watu wate wanakarama ya uponyaji" # wote mnaongea kwa lugha? Kwa maneno mengine " si watu wote hunenea kwa lugha" # wote mnatafasiri lugha? kwa maneno mengine "si wote hufasiri lugha" # Kufasiri Hii inamaanisha kufafanua kile anachosema mtu kwa lugha isiyofahamika kwa wengine. au kueleza maana za maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine # Tafuteni sana karama zilizo kuu Hapa inaweza kumaanisha 1) "tafuteni kwa bidii Mungu awape karama zinazoweza kulisaidia kanisa vizuri zaidi"