Add 'mat/25/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 17:10:21 +00:00
parent ec1053aadb
commit d002e0aa16
1 changed files with 19 additions and 0 deletions

19
mat/25/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,19 @@
# Mathayo 25 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Sura hii inaendeleza mafundisho ya sura ya awali.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Mfano wa bikira kumi
Miongoni mwa Wayahudi, wakati ndoa ilipangwa, kulikuwa na muda kabla ya harusi. Mwisho wa muda huo, kijana huyo angeenda nyumbani kwa bibi arusi, ambako alikuwa anamngojea. Sherehe ya harusi basi ingefanyika. Kwa furaha kubwa wangeweza kusafiri hadi nyumba ya bwana harusi, ambako kungekuwa na sikukuu. (Angalia: rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
Yesu anatumia desturi hii kwa kuwaambia mfano wa bikira kumi (Mathayo 25:1-13).
## Links:
* __[Matthew 25:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../24/intro.md) | [>>](../26/intro.md)__