From 865ff704d9bc6ad46209503555f08e9a2cc5df77 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: Rick Date: Mon, 3 May 2021 16:04:20 +0000 Subject: [PATCH] Add 'mat/11/Intro.md' --- mat/11/Intro.md | 24 ++++++++++++++++++++++++ 1 file changed, 24 insertions(+) create mode 100644 mat/11/Intro.md diff --git a/mat/11/Intro.md b/mat/11/Intro.md new file mode 100644 index 0000000..6fa3834 --- /dev/null +++ b/mat/11/Intro.md @@ -0,0 +1,24 @@ +# Mathayo 11 Maelezo ya Jumla + +### Muundo na upangiliaji + +Baadhi ya tafsiri huingiza kidogo mistari ya nukuu kutoka kwa Agano la Kale. ULB inafanya hivyo kwa mistari ya nukuu zilizotajwa katika 11:10. + +Wasomi wengine wanaamini kwamba Mathayo 11:20 huanzisha hatua mpya katika huduma ya Kristo kwa sababu ya kukataliwa kwake na Israeli. + +### Dhana maalum katika sura hii + +#### Ufunuo uliofichwa + +Baada ya Mathayo 11:20, Yesu anaanza kufunua habari kumhusu yeye mwenyewe na kuhusu mipango ya Mungu Baba, huku akificha habari hii kwa wale wanaomkataa. (Angalia: Mathayo 11:25) + +### Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii + +#### "Ufalme wa mbinguni umekaribia" + +Maneno haya yana umuhimu mkubwa wa kitheolojia. Wataalam wanajadili ikiwa "ufalme wa mbinguni" ulikuwepo wakati huu au bado unakuja. Tafsiri za Kiingereza mara nyingi hutumia maneno "karibu," lakini hii inaweza kusababisha changamoto katika kutafsiri. Matoleo mengine hutumia maneno "inakaribia" na "yamekaribia." + +## Links: +* __[Matthew 11:01 Notes](./01.md)__ + +__[<<](../10/intro.md) | [>>](../12/intro.md)__ \ No newline at end of file