Add 'mat/18/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 16:32:42 +00:00
parent 652ba09391
commit 5e057f9fd0
1 changed files with 14 additions and 0 deletions

14
mat/18/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,14 @@
# Mathayo18 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### Je, unapaswa kufanya nini "ndugu yako akikukosea"?
Katika sura hii, Yesu anafundisha kwamba ni muhimu kwa wafuasi wake kuacha ugomvi kati yao wenyewe. Anafundisha kwamba kikundi cha waumini lazima kiwe tayari kuwezesha hii kufanyika kwa njia "inayomheshimu Mungu.
Kanisa lina jukuma pia wa kuwahimiza waumini kutubu ikiwa wanafanya dhambi. (Angalia: rc://en/tw/dict/bible/kt/repent]] na [[rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)
## Links:
* __[Matthew 18:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../17/intro.md) | [>>](../19/intro.md)__