Add 'mat/08/Intro.md'

This commit is contained in:
Rick 2021-05-03 15:47:36 +00:00
parent 35c1909045
commit 20c7ea4f93
1 changed files with 16 additions and 0 deletions

16
mat/08/Intro.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,16 @@
# Mathayo 08 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Sura hii inaanza sehemu mpya.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Miujiza
Miujiza ya Yesu katika sura hii inaonyesha kwamba ana mamlaka juu ya mambo yanayopita udhibiti wa binadamu. Inaonyesha pia kwamba kumwabudu Yesu ni jibu sahihi kwa matendo yake. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/authority)
## Links:
* __[Matthew 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__