forked from WA-Catalog/sw_tn
Add 'heb/03/Intro.md'
This commit is contained in:
parent
7d08ff390d
commit
1ed674a128
|
@ -0,0 +1,27 @@
|
|||
# Waebrania 03 Maelezo kwa jumla
|
||||
|
||||
### Muundo na mpangilio
|
||||
|
||||
Watafsiri wengine wamewaka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 3:7-11,15, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
|
||||
|
||||
### Dhana muhimu katika sura hii
|
||||
|
||||
#### Ndugu
|
||||
|
||||
Huenda mwandishi anatumia neno "ndugu" kuashiria Wakristo waliokua kama Wayahudi.
|
||||
|
||||
### Mifano muhimu za usemi katika sura hii
|
||||
|
||||
#### Fanya mioyo yenu iwe ngumu
|
||||
|
||||
Mtu anayefanya moyo wake kuwa ngumu ni yule ambaye hatamsikiliza ama kumtii Mungu. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)
|
||||
|
||||
#### Maswali ya hadith
|
||||
|
||||
Mwandishi anatumia maswali ya hadithi kama njia ya kuwaonya wasomaji wake. Yeye pamoja na wasomaji wake wanajua majibu ya maswali haya na mwandishi anajua kwamba wakati wasomaji watafikiria juu ya majibu ya haya maswali, watatambua kwamba wanatakikana kumsikiliza Mungu na kumtii.
|
||||
|
||||
## Links:
|
||||
|
||||
* __[Hebrews 03:01 Notes](./01.md)__
|
||||
|
||||
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__
|
Loading…
Reference in New Issue