forked from WA-Catalog/sw_tn
Add 'rev/04/Intro.md'
This commit is contained in:
parent
8f53887bf9
commit
149e78f542
|
@ -0,0 +1,31 @@
|
|||
# Ufunuo 04 Maelezo kwa jumla
|
||||
|
||||
### Muundo na mpangilio
|
||||
|
||||
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 4:8,11
|
||||
|
||||
Sura hii inaanzisha sehemu iliyobaki ya kitabu cha Ufunuo na ni tofauti na sura tatu za kwanza. Inaelezea kufumbuliwa kwa picha Yohana anaona kwenye maono yake.
|
||||
|
||||
### Dhana muhimu katika sura hii
|
||||
|
||||
#### Utukufu
|
||||
|
||||
Sura hii yote ni picha inayofafanua onyesho fulani mbinguni ambapo kila kitu kinampatia Mungu utukufu kila wakati. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven]] and [[rc://en/tw/dict/bible/kt/glory)
|
||||
|
||||
### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
|
||||
|
||||
#### Mfano
|
||||
|
||||
Ufafanuzi wa mtu akaliaye kwenye kiti cha enzi una mifano nyingi sana. Tamaduni nyingi hazina haya mawe maalum ya thamani na kuna uwezekano yanaashiria kitu fulani chenye umuhimu. (Tazama:rc://en/ta/man/translate/figs-simile]] and [[rc://en/ta/man/translate/translate-unknown)
|
||||
|
||||
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii.
|
||||
|
||||
#### Picha ngumu
|
||||
|
||||
Kuna picha nyinga ambazo zisizo wezekana kuwa ngumu ama zisizoezekana.Kwa mfano,mwanga utokapo kwenye kiti cha enzi, taa ambazo ni roho saba za Mungu "ama mfano wa bahari iliyo mbele ya kiti cha enzi.Ni vyema kuacha ugumu huu kubaki katika tafsiri yako. (Tafsiri: rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
|
||||
|
||||
## Links:
|
||||
|
||||
* __[Revelation 04:01 Notes](./01.md)__
|
||||
|
||||
__[<<](../03/intro.md) | [>>](../05/intro.md)__
|
Loading…
Reference in New Issue