sw_tn_fork/jer/40/11.md

37 lines
476 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wayahudi wote
Watu wote wa Yuda
# Kati ya watu wa
"watu wote wa Yuda kati ya watu wa Amoni."
# mabaki ya Yuda
"mabaki ya watu wa Yuda"
# alimchagua ... juu yao
"alimuweka ... kuwa juu yao"
# Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani
Haya ni majina ya watu.
# juu yao
"juu ya watu wa Yuda"
# ambako wametawanywa
"ambako Babeli waliwapeleka"
# divai na matunda ya jua kwa wingi
"kiasi kikubwa cha zabibu na matunda ya jua"
# matunda ya jua
Matunda ya msimu.