forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
890 B
Markdown
33 lines
890 B
Markdown
|
# Yahwe atajulikana kwa Misri
|
||
|
|
||
|
Hapa "Misri" ina maana ya watu wa Misri. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Yahwe atawafanya watu wa Misri kumjua"
|
||
|
|
||
|
# watamtambua Yahwe
|
||
|
|
||
|
"watapokea ukweli juu ya Yahwe" au "watakubaliana na ukweli juu ya Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# Watamwabudu
|
||
|
|
||
|
Kitu cha ibaada yao kinaweza kuwekwa wazi. "Watamwabudu Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# watatoa viapo kwa Yahwe na kuzitimiza
|
||
|
|
||
|
'"watatoa ahadi kwa Yahwe na kuzishika" au "'watatoa ahadi kwa Yahwe na watafanya kile walichokiahidi kufanya"
|
||
|
|
||
|
# Yahwe ataiumiza Misri
|
||
|
|
||
|
Hapa, "Misri" ina maana ya watu wa Misri. "Yahwe ataumiza watu wa Misri"
|
||
|
|
||
|
# umiza
|
||
|
|
||
|
"kupiga" au "kuadhibu"
|
||
|
|
||
|
# kuwaumiza na kuwaponya
|
||
|
|
||
|
Neno "wao" linaeleweka katika msemo huu. "kuwaumiza wao na kuwaponya wao"
|
||
|
|
||
|
# kuwaumiza na kuwaponya
|
||
|
|
||
|
Jinsi msemo huu unavyohusiana na msemo kabla yake unaweza kuwekwa wazi kwa maneno '"baada" na "pia". "na baada yake kuwaumiiza, pia atawaponya"
|
||
|
|