sw_tn_fork/isa/19/09.md

33 lines
831 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watumishi katika kitani kilichochanwa na wale ambao hufuma nguo nyeupe watakwajuka. Watumishi wa nguo wa Misri watapondwa
Misemo hii miwili ina maana moja. Ikibidi, sababu ya wao kufadhaika inaweza kuwekwa wazi. "Watengeneza kitani wa Misri wataaibishwa kwa sababu hakuna kitani"
# Watumishi katika kitani kilichochanwa
"Wale ambao wanafanya kazi na kitani iliyochanwa"
# kitani kilichochanwa
Kitani ni mmea ambao huota katika Mto Nile. Watu kuchana utembo wake ili kuzigawanyisha, na kuzitumia kutengeneza uzi kwa ajili ya nguo ya kitani.
# watakwajuka
"wataaibika"
# Watumishi wa nguo
"Watu wa Misri ambao hutengeneza nguo"
# watapondwa
Kupondwa inawakilisha hali ya kukata tamaa. "atavunjika moyo"
# wanaofanya kazi ya kuajiriwa
"wanaofanya kazi kwa malipo"
# watahuzunika ndani mwao
"watajisikia huzuni sana"