forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
787 B
Markdown
29 lines
787 B
Markdown
|
# Habari za jumla
|
||
|
|
||
|
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Kila mahali ambapo unyao wa mguu wako utaenda
|
||
|
|
||
|
Hapa "unyao wa mguu wako" uwakilisha mtu mzima.
|
||
|
|
||
|
# kutoka kwenye mto, mto Euphrates
|
||
|
|
||
|
"kutoka kwenye mto Euphrates"
|
||
|
|
||
|
# Hakuna mwanaume ataweza kusimama mbele yako.
|
||
|
|
||
|
Maneno "kusimama mbele yako" ni nahau. "hakuna mtu ataweza kukusimamisha" au "hakuna mtu ataweza kukupinga wewe"
|
||
|
|
||
|
# Yahwe Mungu wako ataiweka hofu yako na hofu yako juu ya nchi yote unayoenda.
|
||
|
|
||
|
Yahwe anasababisha watu kuwa waoga sana inazungumwa kama kuogopa na hofu kilikuwa kitu ambacho ataweka juu ya watu.
|
||
|
|
||
|
# kuogopa kwako na hofu yako
|
||
|
|
||
|
Maneno "kuogopa" na "hofu" umaanisha kitu kile kile na kusisitiza kiwango cha hofu.
|
||
|
|
||
|
# juu ya nchi yote unayoiendea
|
||
|
|
||
|
Hapa "nchi" ni kielezo cha watu wote katika nchi.
|
||
|
|