forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
630 B
Markdown
21 lines
630 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Yehoyada anaendelea kutoa mwelekeo kwa maaskari ambao watamlinda Mfalme Yoashi.
|
||
|
|
||
|
# kwa ajili ya mfalme
|
||
|
|
||
|
Walitakiwa waendelee kuangalia kwa lengo la kumlinda mfalme kuumizwa. "ili kumlinda Mfalme Yoashi"
|
||
|
|
||
|
# Yeyote aingiaye ndani ya safu yako
|
||
|
|
||
|
Safu inarejea mstari wa maaskari. "Yeyote aingiaye kwenda nyuma yako wakati unamlinda Mfalme Yoashi"
|
||
|
|
||
|
# acha auawe
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuanza katika muundo tendaji. "lazima umuue"
|
||
|
|
||
|
# Lazima mkae pamoja na mfalme kila atokapo na kila aingiapo
|
||
|
|
||
|
Haya mambo mawili ya kinyume ni uaminifu ambayo yanarejea kwa kila kitu mfalme afanyacho. "Lazima ukae karibu na mfalme mda wote"
|
||
|
|