forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
370 B
Markdown
13 lines
370 B
Markdown
|
# Sehemu ya roho iliyo ndani kwako
|
||
|
|
||
|
Neno "roho" linamaanisha mamlaka ambayo Roho wa Mungu alikuwa amempatia Musa ili kwamba Musa aweze kufanya yale amabyo Mungu alikuwa amemwamuru. "baadhi ya mamlaka ambayo Roho amekupatia wewe"
|
||
|
|
||
|
# Nao watabeba mzigo wa watu pamoja na wewe
|
||
|
|
||
|
"Watakusaidia kuwaangalia watu hawa"
|
||
|
|
||
|
# Na hautaubeba pekee yako
|
||
|
|
||
|
"Hautawaangalia pekee yako"
|
||
|
|