sw_tn_fork/isa/41/01.md

29 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sikiliza mbele zangu kwa utulivu
Hapa "zangu" ina maana ya Mungu.
# enyi nchi za pwani
Hii ina maana ya watu ambao huishi katika visiwa na katika nchi zinazopatikana au ng'ambo ya pili ya Bahari ya Mediteranea.
# wafanye upya nguvu zao
Yahwe hutia nguvu wale ambao hawana nguvu.
# waache waje karibu na kuongea; tuache tukaribie pamoja kuamua mabishano
Misemo hii miwili hutumia maana moja. Msemo wa pili unafafanua sababu kwa ajili ya kwanza. "waache waje karibu ili wawvze kuzungumza na kuamua pamoja nami"
# Ni nani aliyemwamsha yule kutoka mashariki, kumwita katika haki kwa huduma yake?
Yahwe anatumia swali hili kusisitiza ya kwamba yeye ndiye aliyesababisha mtawala huyu kutoka mashariki kuwa mshindi. "Mimi ndiye niliyemwita mtawala huyu wa nguvu kutoka mashariki na kumweka katika huduma nzuri"
# Hukabidhi mataifa kwake
"Ninawapa mataifa kwake" au "Yule anayefanya mambo haya hukabidhi mataifa kwake"
# Huyageuza kwa vumbi kwa upanga wake, kama mashina ya mabua yalipulizwa kwa upepo kwa upinde wake
Mataifa ambaye yule wa mashariki yanalinganshwa kwa vumbi na mashina ya mabua, kwa sababu yote yatakuwa madogo sana kama vitu hivi na kwa sababu jeshi lake litayasambaza kirahisi.