sw_tn_fork/act/16/22.md

25 lines
649 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mahakimu wakararua nguo zao na kuwavulia
Mahakimu walirarua nguo za Paulo na Sila na kuwavulia"
# na kuwaamuru wachapwe na viboka
"Kumuamuru maaskari kumchapa Paulo na Sila kwa viboko"
# waliwatupa
"mahakimu waliwaweka Paulo na Sila" au " mahakimu waliwaamuru maasakari kumuweka Paulo na Sila"
# na kumuamuru askari wa gereza kuwalinda vema
Askari wa gereza ni mtu anayehusika na wafu wote waliowekwa jela au gerezani. "kumuambi mlinzi wa gereza ahakikishe kuwa hawatoki nje"
# kuwafunga
"kuwafungia imara katika sehemu"
# nguzo
ni kipande cha mti iliyo na matobo kwa ajili ya kuwekea miguu ya mtu ili imzuiye mtu huyo asiweze kwenda.