sw_tn_fork/2ki/24/08.md

13 lines
381 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nehushta ... Elnathani
Nehushta ni jina la mwanamke. Elnathani ni jina la mwanamume.
# Alifanya yaliyo maovu usoni mwa Yahwe
"uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo .. viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea ahukumuvyo au aamuavyo juu ya thamani ya kitu.
# alifanya yote baba yake aliyoyafanya
Hii inajumuisha. "alifanya baadhi ya dhambi baba yake alizokuwa amezifanya"