forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
914 B
Markdown
33 lines
914 B
Markdown
|
# Maelezo yanayounganisha:
|
||
|
|
||
|
Paulo anazungumza kuhusu majukumu yake katika kuhubiri.
|
||
|
|
||
|
# Alithibitishwa kuwa mwana wa Mungu.
|
||
|
|
||
|
Neno "yeye" linamaanisha Yesu. "Mungu alimthibitisha yeye kuwa mwana wa Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Mwana wa Mungu
|
||
|
|
||
|
Ufufuo wa Yesu unathibitisha kuwa alikuwa na ndiye "mwana wa Mungu." Hiki ni cheo cha muhimu sana cha Yesu.
|
||
|
|
||
|
# Roho ya utakatifu
|
||
|
|
||
|
Hii inmaanisha roho mtakatifu.
|
||
|
|
||
|
# kwa ufufuo wa wafu
|
||
|
|
||
|
"kwa kuleta tena kwenye uhai baada ya kufa"
|
||
|
|
||
|
# Tumepokea neema na utume
|
||
|
|
||
|
"Alinichagua mimikuwa mtume" au "Mungu alinipa zawadi ya neema ya kuwa mtume." "Mungu kwa neema yake alinipa zawadi"
|
||
|
|
||
|
# Sisi
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "sisi" linamaanisha Paulo na mitume 12 waliomfuata Yesu lakini ukiwatoa waamini katika kanisa la Roma.
|
||
|
|
||
|
# kwa kutii imani kati ya mataifa yote, kwa ajili ya jina lake.
|
||
|
|
||
|
Paulo anatumia neno "jina" akiwa anamzungumzia Yesu. "kwa ajili yakuwafundisha mataifa yote kutii kwa sababu ya imani yao kwake"
|
||
|
|