sw_tn_fork/psa/119/107.md

13 lines
351 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa ulivyoahaidi katika neno lako
Hapa "neno" linawakilisha kile ambacho Mungu anawasiliana na watu. "kama ulivyoahidi kufanya"
# sadaka za kujitolea za mdomo wangu
Mwandishi anazungumzia ombi lake kana kwamba lilikuwa ni sadaka aliyokuwa akiitoa kwa Mungu. "ombi langu kama sadaka kwako"
# za mdomo wangu
Hapa "mdomo" unawakilisha mtu mzima.