forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.1 KiB
Markdown
29 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Bwana, yako wapi matendo yako ya kale ya uaminifu wako wa agano ulioahidi kwa Daudi katika ukweli wako?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia swali kumwomba Bwana kuwa mwaminifu kwa agano lake na Daudi. "Bwana, kuwa mwaminifu kwa agano lako na Daudi kama ulivyokuwa kipindi cha nyuma"
|
||
|
|
||
|
# Ita akilini
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamwomba Mungu kuleta hili katika kumbukumbu yake. "Kumbuka" au "Zingatia"
|
||
|
|
||
|
# kejeli iliyolengwa kwa watumishi wako
|
||
|
|
||
|
Hapa "watumishi wako" inamaanisha watu wa Israeli. "jinsi wanavyotukejeli, watumishi wako"
|
||
|
|
||
|
# jinsi ninavyobeba moyoni mwangu matusi mengi sana kutoka kwa mataifa
|
||
|
|
||
|
Hapa "moyo" unawakilisha hisia za mtu. "Ninavumilia matusi mengi sana kutoka kwa watu wa mataifa" au " Ninateseka kwa sababu watu wa mataifa wananitukana"
|
||
|
|
||
|
# kutoka kwa mataifa
|
||
|
|
||
|
Hapa "mataifa" inawakilisha watu wa mataifa.
|
||
|
|
||
|
# Adui zako wanatupa matusi
|
||
|
|
||
|
Adui kupiga kelele za matusi kwa mfalme inazungumziwa kana kwamba matusi ni kitu ambacho adui wanamtupia mfalme kwa nguvu.
|
||
|
|
||
|
# wanakejeli hatua za watiwa mafuta wako
|
||
|
|
||
|
Hapa "hatua" inawakilisha pale ambapo mfalme anaenda. "wanamkejeli mtiwa mafuta wako popote aendapo"
|
||
|
|