forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
822 B
Markdown
29 lines
822 B
Markdown
|
# Mtu mwovu
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha watu waovu kwa ujumla. "watu waovu"
|
||
|
|
||
|
# ana uso ulioinuka
|
||
|
|
||
|
Uso ulioinuka inaashiria kiburi. "Ana tabia ya kiburi" au "ana kiburi"
|
||
|
|
||
|
# hamtafuti Mungu
|
||
|
|
||
|
Kumtafuta Mungu inamaanisha kati ya 1) kumwomba Mungu msaada au 2) kumwaza Mungu na kumtii. "hamwombi Mungu msaada" au "hamwazi Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Yuko salama muda wote
|
||
|
|
||
|
Hayuko salama kweli ila anadhani yuko salama.
|
||
|
|
||
|
# amri zako za haki ziko juu sana kwake
|
||
|
|
||
|
Jambo lililogumu kuelewa linazungumziwa kana kwamba liko juu sana kufikia. "hawezi kuelewa amri zako za haki"
|
||
|
|
||
|
# anawakoromea adui zake
|
||
|
|
||
|
Watu hukoromea adui zao wanapodhani kuwa adui zao ni wanyonge na hawana faida. "anafikiri kuwa adui zake wote ni wanyonge na wasio na faida" au "anawakoromea adui zake wote"
|
||
|
|
||
|
# anawakoromea
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha kuwa anapuliza hewa kwa sauti kutoka puani mwake.
|
||
|
|