sw_tn_fork/pro/22/05.md

21 lines
329 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# miiba na mitego huwa katika njia ya mkaidi
wakaidi watapata taabu kwa sababu ya "miiba" ya asili na "mitego" ya kutengenezwa na wanadamu.
# mitego
mitambo ya kunasa wanyama
# mkaidi
"watu wakaidi"
# mwenye kuyalinda maisha yake
"watu ambao wanataka kuishi kwa muda mrefu"
# njia anayopaswa kuifuata
"namna ya kuishi"