forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
575 B
Markdown
21 lines
575 B
Markdown
|
# Akapiga kelele
|
||
|
|
||
|
"Roho chafu ikapiga kelele"
|
||
|
|
||
|
# Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu?
|
||
|
|
||
|
Roho chafu inauliza swali hili kwa uoga. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. "Niache peke yangyu, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu! Hakuna sababu ya wewe kuniingilia mimi"
|
||
|
|
||
|
# Yesu...usinitese.
|
||
|
|
||
|
Yesu, "Mwana wa Mungu aliye juu,"ana uwezo kuzitesa roho chafu.
|
||
|
|
||
|
# Mwana wa Mungu aliye juu
|
||
|
|
||
|
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu.
|
||
|
|
||
|
# Nakuombwa kwa Mungu mwenyewe
|
||
|
|
||
|
Hapa roho chafu anaapa kwa Mungu kama anafanya ombi la Yesu. Angali namna gani ya ombi hili linafanywa katika lugha ya kwenu.
|
||
|
|