forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
700 B
Markdown
25 lines
700 B
Markdown
|
# Sentensi kiunganishi
|
||
|
|
||
|
Elihu anaendelea kuongea
|
||
|
|
||
|
# Kama umetenda dhambi, ni madhara gani huwa unayafanya kwa Mungu?
|
||
|
|
||
|
Dhambi zako zote haziwezi kumharibu mtu au tabia za Mungu"
|
||
|
|
||
|
# Ikiwa makosa yako yameongezeka zaidi, je huwa unafanya nini kwake?
|
||
|
|
||
|
Swali hili linarudia wazo lile lile kama swali lililotangulia. "Ingawa unaendelea kutenda dhambi pamoja na matokeo makubwa, dhambi zako hazina athari juu yake.
|
||
|
|
||
|
# Kama wewe ni mwenye haki, unaweza kumpa nini? Je atapokea nini mkononi mwako?
|
||
|
|
||
|
Maswali haya mawili kimsingi yanamaanisha jambo lile lile, kwamba haki ya Ayubu haikuongeza chochote kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# kutoka mkononi mwako
|
||
|
|
||
|
"kutoka kwako"
|
||
|
|
||
|
# mwana wa mtu
|
||
|
|
||
|
"mwanadamu mwenza" au "mtu mwingine"
|
||
|
|