forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
536 B
Markdown
17 lines
536 B
Markdown
|
# aliteseka kwa ajili yetu
|
||
|
|
||
|
Neno "sisi" linajumuisha msemaji, Petro na watazamaji.
|
||
|
|
||
|
# Aliuawa katika mwili
|
||
|
|
||
|
Kristo alikuwa ameuawa kimwili na kufa kwenye msalaba wa Kirumi wa kuni. AT "Watu walimwua kimwili."
|
||
|
|
||
|
# lakini alifanywa hai katika roho
|
||
|
|
||
|
Kristo alikuwa amefufuliwa kimwili kutoka kwa wafu au akafufuliwa tena kwa nguvu ya Roho Mtakatifu.
|
||
|
|
||
|
# Katika roho, alienda na kuhubiri kwa roho ambao sasa gerezani
|
||
|
|
||
|
Baada ya kufa Kristo alikwenda mahali pa wafu na kuhubiri kwa roho za wale waliokufa kabla yake na walikuwa wakiwa mateka.
|
||
|
|