sw_tn_fork/jud/01/07.md

17 lines
587 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# katika namna ileile walijiingiza wenyewe kwenye
Sodoma na Gomora waliishi katika dhambi ya zinaa katika namna hihyo hiyo kama malaika walivyo fuata njia za uovu.
# kama mifano ya wale ambao huteseka katika hukumu ya moto wa milele
Uharibifu wa watu wa Sodoma na Gomora ulifanyika mfano wa hatima ya wote wanao mkataa Mungu.
# hawa pia walichafua
"Hawa" ina rejea kwa watu wanaomkataa Mungu ambao huchafua miili yao kwa uasherati kwa namna hiyo wakitupa takataka kwenye mkondo inaweza kusababisha maji kuwa mabaya kunywa.
# kuhusu wenye utukufu
"kuhusu malaika wazuri wa Mungu"