sw_tn_fork/ezk/14/07.md

17 lines
469 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# achukuaye sanamu zake kwenye moyo wake
"ambaye afikiriaye sanamu zake kuwa muhimu sana"
# na kuweka kwazo la uovu wake mbele ya uso wake mwenyewe
"sanamu ambayo aliyoitumia imetumika kuasi kwa kuiabudu"
# nitauweka uso wangu juu ya huyo mtu
"nitakuwa juu yake" au "nitatoa umakini wangu kuwa juu yake"
# kumfanya ishara na mithali
Hapa maneno "ishara" na "mithali" yanarejea kwa kitu kinachohifadhi kama kuonya wengine kuhusu matokeo mabaya ya tabia mbaya.