sw_tn_fork/sng/08/10.md

13 lines
247 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# matiti yangu sasa ni kama nguzo imara
matiti ya mwanamke ni marefu kama minara.
# hivyo nimekomaa machoni pake
Mpenzi wake sasa anamuona ni mwanamke aliye komaa, na hilo la mpendeza.
# machoni pake
Hapa "machoni pake" ya husu mpenzi wake.