forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
607 B
Markdown
17 lines
607 B
Markdown
|
# Milima ikainuka, na mabonde yakasambaa
|
||
|
|
||
|
Hapa mtunga zaburi anazungumza juu ay Mungu kusababisha milima na mabonde kusogea na kubadilika kana kwamba zilichagua kusogea zenyewe. Inaelezewa kwa njia hii kusisitiza uwezo wa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# mpaka kwa ajili yao ili wasivuke
|
||
|
|
||
|
Hapa mtunga zaburi anazungumza juu ya Mungu kusababisha maji kutovuka mpaka ambao alitengeneza kwa ajili yao kana kwamba maji yenyewe yalichagua kutovuka. Yaneelezewa kwa naman hii kusisitiza mamlaka ya Mungu juu yao. "mpaka kwa ajili yao ambao hawawezi kuvuka"
|
||
|
|
||
|
# mpaka
|
||
|
|
||
|
"mstari" au "mpaka"
|
||
|
|
||
|
# kwa ajili yao
|
||
|
|
||
|
Neno "yao" ina maana ya maji.
|
||
|
|