forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
938 B
Markdown
25 lines
938 B
Markdown
|
# jinsi tulivyoumbwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "jinsi miili yetu ilivyo" au "jinsi alivyoumba miili yetu"
|
||
|
|
||
|
# anajua ya kuwa sisi ni vumbi
|
||
|
|
||
|
Yahwe alipomuumba Adamu mtu wa kwanza alimuumba kutoka na vumbi. "anakumbuka ya kwamba alituumba kutoka na vumbi"
|
||
|
|
||
|
# Na kwa mtu, siku zake ni kama nyasi
|
||
|
|
||
|
Katika tashbihi hii, urefu wa maisha ya mtu unalinganishwa na urefu mfupi ambao nyasi huota kabla hazijafa. "Urfeu wa maisha ya mtu ni kama yale ya nyasi"
|
||
|
|
||
|
# hustawi kama ua katika shamba
|
||
|
|
||
|
Katika tashbihi hii, jinsi mtu hukua katika muda inalinganishwa kwa jinsi ua huota.
|
||
|
|
||
|
# hustawi
|
||
|
|
||
|
"Kustawi" ni kuota vizuri na kuwa na afya.
|
||
|
|
||
|
# Upepo huvuma juu yake, na linatoweka ... ni wapi liliwahi kuota
|
||
|
|
||
|
Misemo hii inaendelea kuongea juu ya maua na nyasi. Inalinganisha jinsi maua na nyasi hufa kwa jinsi mtu hufa. "Upepo huvuma juu ya maua na nyasi na inapotea, na hakuna awezaye kujua wapi zilianza kuota - ni sawa na mwanadamu"
|
||
|
|