forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
631 B
Markdown
13 lines
631 B
Markdown
|
# Kwa kuwa kama anga zilivyo juu ... kuelekea wale ambao humheshimu
|
||
|
|
||
|
Tashbihi inalinganisha umbali mkubwa kati ya mbingu na dunia kwa ukuu wa upendo wa Mungu kwa ajili ya watu wake.
|
||
|
|
||
|
# Kama vile mashariki ilivyo mbali ... alivyoondoa hatia ya dhambi zetu kutoka kwetu
|
||
|
|
||
|
Umbali kati ya mashariki na magharibi ni mbali sana mpaka haiwezi kupimika. Katika tashbihi hii, umbali huo unalinganishwa kwa jinsi Mungu anavyosogeza mbali hatia yetu kutoka kwetu.
|
||
|
|
||
|
# Kama vile baba alivyo na huruma ... juu ya wale amabo humheshimu
|
||
|
|
||
|
Hapa mwandishi analinganisha huruma ya baba kwa watoto wake kwa huruma ya Yahwe kwa wale ambao wanamheshimu.
|
||
|
|