forked from WA-Catalog/sw_tn
45 lines
1.2 KiB
Markdown
45 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
||
|
|
||
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Zaburi hii ni ombi kwa ajili ya msaada.
|
||
|
|
||
|
# Katika wewe, Yahwe, ninakimbilia
|
||
|
|
||
|
Kwenda kwa Yahwe kwa ajili ya ulinzi inazungumziwa kama kumkimbilia. "kwenda kwako, Yahwe, kwa ajili ya ulinzi"
|
||
|
|
||
|
# acha nisiaibishwe kamwe
|
||
|
|
||
|
"usiwaruhusu kamwe adui zangu kuniaibisha"
|
||
|
|
||
|
# unifanya kuwa salama katika haki yako
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "nifanye kuwa salama kwa sababu daima huwa unafanya kilocho sawa" au 2) "nifanye kuwa salama ninapofanya kile unachotaka nifanye"
|
||
|
|
||
|
# geuza sikio lako kwangu
|
||
|
|
||
|
Hapa "sikio lako" inamaanisha utayari wa Mungu kumsikiliza mtu anaye omba kwake. "kuwa msikivu kwangu"
|
||
|
|
||
|
# Uwe kwangu mwamba wa kukimbilia
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anaomba kwamba Yahwe amfanye kuwa salama kama ambavyo angekuwa kama angejificha kwenye mwamba mkubwa au jabali ambapo adui zake wasingempata.
|
||
|
|
||
|
# mwamba ... mwamba
|
||
|
|
||
|
Hivi ni vilima au milima, sio mawe ambayo mtu anaweza kushika mkononi.
|
||
|
|
||
|
# umetoa amri
|
||
|
|
||
|
"umewaamuru malaika wako"
|
||
|
|
||
|
# kuniokoa
|
||
|
|
||
|
"niweke salama"
|
||
|
|
||
|
# wewe ni mwamba wangu na ngome yangu
|
||
|
|
||
|
Mwandishi wa zaburi anaamini kuwa Yahwe atamlinda na kumfanye kuwa salama kana kwamba anajificha juu ya mlima mkubwa au kwenye ngome iliyotengenezwa na mwanadamu.
|
||
|
|