forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
922 B
Markdown
21 lines
922 B
Markdown
|
# Amka, kwa nini unalala, Bwana?
|
||
|
|
||
|
Hii haimaanishi ya kuwa Mungu amelala kweli. Mwandishi anazungumzia Mungu kuonekana kama hatendi kitu kana kwamba amelala. Anauliza swali hili kumkemea Mungu kwa kuonekana kutokujali kuhusu taabu zao. "Amka! Naona kama umelala, Bwana!"
|
||
|
|
||
|
# usitutupe
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamzungumzia Mungu kuikataa Israeli kwamba alikuwa akitupa nguo ambayo haitaki. "usitukatae"
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini unaficha uso wako ... kukandamizwa kwetu?
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anatumia hili swali kulalamika kuwa Mungu anaonekana kutowajali. "Usifiche uso wako ... kukandamizwa kwetu."
|
||
|
|
||
|
# unaficha uso wako
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anasungumzia Mungu kutowajali kana kwamba Mungu alikuwa akificha uso wake ili asiwaone. "kutujali"
|
||
|
|
||
|
# kusahau mateso yetu na kukandamizwa kwetu
|
||
|
|
||
|
Maneno "mateso" na "kukandamizwa " inamaanisha kitu kimoja na inaweka mkazo ya ukali wa mateso. "kusahau kuwa watu wanatutesana kutukandamiza" au "kusahau kuwa watu wanatutesa sana"
|
||
|
|